\v=4 \v~=Nami nitaufanya moyo wa Farao mgumu, naye atawafuatilia. Lakini nitajipatia utukufu kwa ajili yangu mwenyewe kupitia Farao na jeshi lake lote, nao Wamisri watajua kuwa mimi ndimi \nd Bwana\nd*.” Kwa hiyo Waisraeli wakafanya hivyo. \¬v \¬p