\p \v=19 \v~=Farasi wa Farao, magari yake ya vita na wapanda farasi wake walipoingia baharini, \nd Bwana\nd* aliyarudisha maji ya bahari yakawafunika, lakini wana wa Israeli walipita baharini mahali pakavu. \¬v