\v=23 \v~=Walipofika Mara, hawakuweza kunywa maji yake kwa sababu yalikuwa machungu. (Ndiyo sababu mahali hapo panaitwa Mara\f + \fr 15:23 \ft Mara maana yake ni Chungu.\f*) \¬v