\v=26 \v~=Mungu akasema, “Kama mkisikiliza kwa bidii sauti ya \nd Bwana\nd* Mungu wenu na kuyafanya yaliyo sawa machoni pake, kama mkiyatii maagizo yake na kuzishika amri zake zote, sitaleta juu yenu ugonjwa wowote niliowaletea Wamisri, kwa kuwa Mimi ndimi \nd Bwana\nd*, niwaponyaye.” \¬v \¬p