\p \v=10 \v~=Aroni alipokuwa akizungumza na jumuiya yote ya Waisraeli, wakatazama kuelekea jangwani, na huko wakaona utukufu wa \nd Bwana\nd* ukitokeza katika wingu. \¬v \¬p