\v=12 \v~=“Nimesikia manungʼuniko ya Waisraeli. Waambie, ‘Jioni mtakula nyama, na asubuhi mtashiba mikate. Ndipo mtajua ya kwamba Mimi ndimi \nd Bwana\nd* Mungu wenu.’ ” \¬v \¬p