\v=16 \v~=Hivi ndivyo \nd Bwana\nd* alivyoamuru: ‘Kila mmoja akusanye kiasi anachohitaji. Chukueni pishi\f + \fr 16:16 \ft Pishi ni kipimo cha ujazo, kwa Kiebrania ni omeri, ambacho ni sawa na kilo mbili.\f* moja kwa kila mtu mliye naye katika hema yenu.’ ” \¬v \¬p