\v=2 \v~=Huko jangwani hiyo jumuiya yote wakawanungʼunikia Mose na Aroni. \¬v