\v=23 \v~=Mose akawaambia, “Hivi ndivyo alivyoagiza \nd Bwana\nd*: ‘Kesho itakuwa siku ya mapumziko, Sabato takatifu kwa \nd Bwana\nd*. Kwa hiyo okeni kile mnachotaka kuoka na mchemshe kile mnachotaka kuchemsha. Hifadhini chochote kinachobaki na mkiweke mpaka asubuhi.’ ” \¬v \¬p