\v=3 \v~=Waisraeli wakawaambia, “Laiti tungelikufa kwa mkono wa \nd Bwana\nd* huko Misri! Huko tuliketi tukizunguka masufuria ya nyama na tukala vyakula tulivyovitaka, lakini ninyi mmetuleta huku jangwani ili mpate kuua mkutano huu wote kwa njaa.” \¬v \¬p