\p \v=31 \v~=Watu wa Israeli wakaita ile mikate mana\f + \fr 16:31 \ft Mana maana yake ni mkate kutoka mbinguni.\f* Ilikuwa myeupe kama mbegu za mtama na ladha yake ilikuwa kama mkate mwembamba uliotengenezwa kwa asali. \¬v