\v=32 \v~=Mose akasema, “Hivi ndivyo alivyoagiza \nd Bwana\nd*: ‘Chukueni pishi ya mana na kuhifadhi kwa ajili ya vizazi vijavyo ili vione mikate niliyowapa mle jangwani nilipowatoa katika nchi ya Misri.’ ” \¬v \¬p