\p \v=33 \v~=Kwa hiyo Mose akamwambia Aroni, “Chukua gudulia na uweke pishi moja ya mana ndani yake. Kisha uweke mbele za \nd Bwana\nd* ili kihifadhiwe kwa ajili ya vizazi vijavyo.” \¬v \¬p