\v=7 \v~=kisha asubuhi mtauona utukufu wa \nd Bwana\nd*, kwa sababu amesikia manungʼuniko yenu dhidi yake. Sisi ni nani hata mtunungʼunikie?” \¬v