\v=8 \v~=Pia Mose akasema, “Mtajua kuwa alikuwa \nd Bwana\nd* wakati atakapowapa nyama mle ifikapo jioni na mikate yote mtakayohitaji asubuhi kwa sababu amesikia manungʼuniko yenu dhidi yake. Sisi ni nani? Hamnungʼuniki dhidi yetu, bali dhidi ya \nd Bwana\nd*.” \¬v \¬p