\p \v=9 \v~=Kisha Mose akamwambia Aroni, “Iambie jumuiya yote ya Waisraeli kwamba, ‘Mje mbele zake \nd Bwana\nd*, kwa maana amesikia manungʼuniko yenu.’ ” \¬v \¬p