\v=16 \v~=Mose akasema, “Kwa maana mikono iliinuliwa mpaka kwenye kiti cha enzi cha \nd Bwana\nd*. \nd Bwana\nd* atakuwa na vita dhidi ya Waamaleki kutoka kizazi hata kizazi.” \¬v \¬p \¬c