\p \v=4 \v~=Kisha Mose akamlilia \nd Bwana\nd*, akasema, “Niwafanyie nini watu hawa? Sasa wanakaribia kunipiga kwa mawe.” \¬v \¬p