\v=10 \v~=Yethro akasema, “Sifa na ziwe kwa \nd Bwana\nd*, aliyekuokoa wewe kutoka mikononi mwa Wamisri na Farao, na aliyewaokoa watu kutoka mikononi mwa Wamisri. \¬v