\p \v=27 \v~=Kisha Mose akaagana na Yethro baba mkwe wake, naye akarudi kwa nchi yake. \¬v \¬p \¬c