\v=8 \v~=Mose akamwambia baba mkwe wake kuhusu kila kitu \nd Bwana\nd* alichomfanyia Farao na Wamisri kwa ajili ya Israeli, na pia kuhusu shida zote walizokutana nazo njiani na jinsi \nd Bwana\nd* alivyowaokoa. \¬v \¬p