\p \v=9 \v~=Yethro akafurahishwa sana kusikia juu ya mambo yote mazuri \nd Bwana\nd* aliyowatendea Waisraeli kuwaokoa kutoka mkono wa Wamisri. \¬v