\v=18 \v~=Mlima Sinai ulikuwa umefunikwa na moshi, kwa sababu \nd Bwana\nd* alishuka juu yake katika moto. Moshi wa moto huo ulipanda juu kama moshi kutoka kwenye tanuru kubwa na mlima wote ukatetemeka kwa nguvu nyingi, \¬v