\p \v=23 \v~=Mose akamwambia \nd Bwana\nd*, “Watu hawawezi kupanda mlima Sinai kwa sababu wewe mwenyewe ulituonya ukisema, ‘Wekeni mipaka kuuzunguka mlima na kuutenga kama patakatifu.’ ” \¬v \¬p