\p \v=3 \v~=Kisha Mose akakwea kwenda kwa Mungu, naye \nd Bwana\nd* akamwita kutoka kwenye ule mlima akasema, “Hivi ndivyo utakavyosema na nyumba ya Yakobo na utakachowaambia watu wa Israeli: \¬v