\p \v=7 \v~=Kwa hiyo Mose akarudi, akawaita wazee wa watu na kuwaambia maneno yote ambayo \nd Bwana\nd* alikuwa amemwamuru ayaseme. \¬v