\v=8 \v~=Watu wote wakajibu kwa pamoja, “Tutafanya kila kitu \nd Bwana\nd* alichokisema.” Naye Mose akarudisha majibu yao kwa \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p