\p \v=9 \v~=\nd Bwana\nd* akamwambia Mose, “Nitakujia katika wingu zito, ili watu wanisikie nikinena nawe na kila mara waweke tumaini lao kwako.” Kisha Mose akamwambia \nd Bwana\nd* yale ambayo watu walikuwa wamesema. \¬v \¬p