\v=11 \v~=Kwa kuwa kwa siku sita, \nd Bwana\nd* aliumba mbingu na nchi, bahari na vyote vilivyomo, lakini akapumzika siku ya saba. Kwa hiyo \nd Bwana\nd* akaibariki siku ya Sabato na kuifanya takatifu. \¬v \¬li1