\v=5 \v~=Usivisujudie wala kuviabudu; kwa kuwa Mimi, \nd Bwana\nd* Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, ninayewaadhibu watoto kwa ajili ya dhambi za baba zao hadi kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao, \¬v