\v=32 \v~=Ikiwa fahali atampiga mtumwa wa kike au wa kiume, mwenye fahali atalipa shekeli thelathini\f + \fr 21:32 \ft Shekeli 30 ni sawa na gramu 300.\f* za fedha kwa bwana mwenye mtumwa, na fahali ni lazima auawe kwa mawe. \¬v \¬p