\v=11 \v~=jambo hili kati yao wawili litaamuliwa kwa kuapa kiapo mbele za \nd Bwana\nd*, kwamba huyo jirani hakuhusika na wizi wa mali ya jirani yake. Mwenye mali itampasa akubali jambo hili, na hakuna malipo yatakayohitajika. \¬v