\v=16 \v~=nao utukufu wa \nd Bwana\nd* ukatua juu ya Mlima Sinai. Kwa muda wa siku sita wingu lilifunika mlima, na siku ya saba \nd Bwana\nd* akamwita Mose kutoka katikati ya lile wingu. \¬v