\v=7 \v~=Kisha akachukua kile Kitabu cha Agano na kuwasomea watu. Nao wakajibu, “Tutafanya kila kitu alichosema \nd Bwana\nd*, nasi tutatii.” \¬v \¬p