\p \v=8 \v~=Ndipo Mose akachukua ile damu, akawanyunyizia wale watu, akasema, “Hii ni damu ya agano ambalo \nd Bwana\nd* amelifanya nanyi kufuatana na maneno haya yote.” \¬v \¬p