\v=25 \v~=Kisha tengeneza upapi wenye upana wa nyanda nne,\f + \fr 25:25 \ft Nyanda nne ni sawa na sentimita 8.\f* na ufanyie ule upapi ukingo wa dhahabu kuuzunguka pande zote. \¬v