\p \v=8 \v~=“Kisha uwaamuru wanitengenezee mahali patakatifu, nami nitakaa miongoni mwao. \¬v