\v=2 \v~=Mapazia yote yatatoshana kwa ukubwa: kila moja litakuwa na urefu wa dhiraa ishirini na nane,\f + \fr 26:2 \ft Dhiraa 28 ni sawa na mita 13.\f* na upana wa dhiraa nne\f + \fr 26:2 \ft Dhiraa nne ni sawa na mita 1.8.\f* \¬v