\v=8 \v~=Mapazia hayo kumi na moja yatakuwa na kipimo kimoja, yaani urefu wa dhiraa thelathini,\f + \fr 26:8 \ft Dhiraa 30 ni sawa na mita 13.5.\f* na upana wa dhiraa nne. \¬v