\p \v=12 \v~=“Upande wa magharibi wa ua utakuwa na upana wa dhiraa hamsini,\f + \fr 27:12 \ft Dhiraa 50 ni sawa na mita 22.5.\f* nao utakuwa na mapazia, na nguzo kumi na vitako vyake kumi. \¬v