\v=15 \v~=Kutakuwepo tena na mapazia ya dhiraa kumi na tano\f + \fr 27:15 \ft Dhiraa 15 ni sawa na mita 6.75.\f* kwa upande mwingine wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu. \¬v \¬p