\p \v=16 \v~=“Kuhusu ingilio la ua, weka pazia lenye urefu wa dhiraa ishirini\f + \fr 27:16 \ft Dhiraa 20 ni sawa na mita 9.\f* la nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu pamoja na kitani iliyosokotwa vizuri, kazi ya mtarizi. Pazia hilo litashikiliwa na nguzo nne na vitako vinne. \¬v