\v=21 \v~=Katika Hema la Kukutania, nje ya pazia lililo mbele ya Sanduku la Ushuhuda, Aroni na wanawe watahakikisha kuwa taa hizo zinawaka kuanzia jioni mpaka asubuhi mbele za \nd Bwana\nd*. Hili litakuwa agizo la milele miongoni mwa Waisraeli kwa vizazi vyote vijavyo. \¬v \¬p \¬c