\v=35 \v~=Ni lazima Aroni alivae anapofanya huduma. Sauti ya hivyo vikengele itasikika anapoingia na kutoka Mahali Patakatifu mbele za \nd Bwana\nd*, ili asije akafa. \¬v \¬p