\v=18 \v~=Kisha mteketeze huyo kondoo dume mzima juu ya madhabahu. Hii ni sadaka ya kuteketezwa kwa \nd Bwana\nd*, harufu ya kupendeza, sadaka iliyotolewa kwa \nd Bwana\nd* kwa moto. \¬v \¬p