\v=23 \v~=Kutoka kwenye kile kikapu chenye mikate iliyotengenezwa bila chachu, kilichoko mbele za \nd Bwana\nd*, chukua mkate, andazi lililokandwa kwa mafuta na mkate mdogo mwembamba. \¬v