\v=26 \v~=Baada ya kuchukua kidari cha huyo kondoo dume wa kuwekwa wakfu kwa Aroni, kiinue mbele za \nd Bwana\nd* kuwa sadaka ya kuinuliwa, nayo itakuwa fungu lako. \¬v \¬p