\v=28 \v~=Siku zote hili litakuwa fungu la kawaida kutoka kwa Waisraeli kwa ajili ya Aroni na wanawe. Hili ni toleo la Waisraeli watakalotoa kwa \nd Bwana\nd* kutoka sadaka zao za amani. \¬v \¬p