\v=40 \v~=Pamoja na mwana-kondoo wa kwanza utatoa efa moja\f + \fr 29:40 \ft Efa moja ni sawa na kilo 22.\f* ya unga wa ngano laini uliochanganywa na robo ya hini\f + \fr 29:40 \ft Robo ya hini ni sawa na lita moja.\f* ya mafuta yaliyokamuliwa, pamoja na robo ya hini ya divai kuwa sadaka ya kinywaji. \¬v