\v=12 \v~=“Utakapowahesabu Waisraeli, kila mmoja lazima alipe kwa \nd Bwana\nd* fidia kwa ajili ya nafsi yake wakati wa kuhesabiwa kwake. Ndipo hakutakuwa na pigo juu yao unapowahesabu. \¬v